Nafikiri wasanii wengine wapaswa kujifunza kwa Dimond,the guy is so talented lakini pia ametambua mziki ndio ajira yake kwahiyo ameamua kuinvest vyakutosha mpaka kuweza kumiliki ofisi kubwa kama hiyo jambo ambalo limekuwa geni sana kwa wasanii wetu wa kiafrika.
Tatizo wengine ofisi zao ni baa na vijiweni. Endelea Diamond kuwaonyesha njia. Hadhi ya ofisi inatosha kabisa kumuonyesha mteja kwamba thamani yako si ya spoti spoti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.