Mwanasiasa akikwambia usiku mwema, angalia vizuri kama jua kweli limezama.
Utafiti kidogo tu nilioufanya, kila wakala niliyeongea nae analalamika. Binafsi tangu tozo zianze nimetoa hela mara 2 tu. Wakati nilikuwa mtumiaji mkubwa wa Mobile Money, sasa hivi ni mwendo wa bank tu. Hata kama nakudai 10,000 tafuta wakala kaniwekee CRDB, mazafantas