Setuba Noel
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 426
- 210
Kwani kufundisha wahandisi ndio kupumzika?
Waziri mpya wa Ofisi ya Rais(Asiye na Wizara Maalum),Prof.Mark Mwandosya amekaririwa akisema kuwa kama Mhe.Rais angezingatia hali yake ya kiafya na ushauri aliopewa na Madaktari juu ya kupata mapumziko,angemuacha apumzike.Akizungumza na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda,jana nyumbani kwake Kunduchi-Dar es Salaam,Prof Mwandosya alionyesha kutoridhishwa kwake na uteuzi wa Rais juu yake.
'Nahitaji mapumziko makubwa Mkuu' alisema Prof.Mwandosya akimueleza Pinda aliyeonekana kukubaliana naye. 'Niheri nirudi UDSM nikafundishe Wahandisi wangu' aliongeza Prof Mwandosya.Mimi tu kuwaletea habari...
hilo la kutumia utaalamu wake kwa mimi naona kashindwa, licha ya kuwa msomi aliye bobea au weledi wa kutosha sababu alikuwa katibu mkuu wizara ya madini na nishati lakini alishindwa kutumia elimu yake kutuletea umeme wa kutosha, amekuwa waziri wa maji bado ameshindwa kuleta ufanisi katika sekta ya maji, amekuwa waziri wa mawasiliano na uchukuzi pia napo hakuleta ufanisi wowote zaidi ya kuia ttcl? kuna siku Mengi aliwahi kusema kuhusu wasomi wa tz badala ya kutumia utaalamu wao kuanzisha vitu vikubwa kama viwanda hata vidogo vidogo kama vikubwa vina washinda wao wana fuga ngombe wa zero grazing au kuku, wanyama au wa mayai nyuma ya nyumba zao zilizo katika maeneo ya makazi, badala yakuwa wanakuwa wao wanavubaa katika kila angle.Hata wewe utaumwa na kufa na kufunikwa udongoni,kauli kama hii ingetolewa na mtu ambaye yeye hawezi kukutwa na Ugonjwa wala Mauti...hizi ni chuki Binafsi tuu weweeee.
Prof Mwandosya ni Msomi aliyebobea katika Sayansi na Teknolojia na mwenye weledi wa kutosha unaoaminika ndani na nje ya Nchi na amelitumikia taifa letu kwa muda mrefu na kwa weledi wa hali ya juu,tuambie wewe ni nani na umeifanyia nini Tanzania?Wewe Pia utaumwa na Utakufa siku Moja,potea hapaa.
Inashangaza sanaKwani kufundisha wahandisi ndio kupumzika?
Kwa hiyo mbio zake za kuwania urais zimeishia ukingoni?!!
Waziri mpya wa Ofisi ya Rais(Asiye na Wizara Maalum),Prof.Mark Mwandosya amekaririwa akisema kuwa kama Mhe.Rais angezingatia hali yake ya kiafya na ushauri aliopewa na Madaktari juu ya kupata mapumziko,angemuacha apumzike.Akizungumza na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda,jana nyumbani kwake Kunduchi-Dar es Salaam,Prof Mwandosya alionyesha kutoridhishwa kwake na uteuzi wa Rais juu yake.
'Nahitaji mapumziko makubwa Mkuu' alisema Prof.Mwandosya akimueleza Pinda aliyeonekana kukubaliana naye. 'Niheri nirudi UDSM nikafundishe Wahandisi wangu' aliongeza Prof Mwandosya.Mimi tu kuwaletea habari...
Waziri mpya wa Ofisi ya Rais(Asiye na Wizara Maalum),Prof.Mark Mwandosya amekaririwa akisema kuwa kama Mhe.Rais angezingatia hali yake ya kiafya na ushauri aliopewa na Madaktari juu ya kupata mapumziko,angemuacha apumzike.Akizungumza na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda,jana nyumbani kwake Kunduchi-Dar es Salaam,Prof Mwandosya alionyesha kutoridhishwa kwake na uteuzi wa Rais juu yake.
'Nahitaji mapumziko makubwa Mkuu' alisema Prof.Mwandosya akimueleza Pinda aliyeonekana kukubaliana naye. 'Niheri nirudi UDSM nikafundishe Wahandisi wangu' aliongeza Prof Mwandosya.Mimi tu kuwaletea habari...
hilo la kutumia utaalamu wake kwa mimi naona kashindwa, licha ya kuwa msomi aliye bobea au weledi wa kutosha sababu alikuwa katibu mkuu wizara ya madini na nishati lakini alishindwa kutumia elimu yake kutuletea umeme wa kutosha, amekuwa waziri wa maji bado ameshindwa kuleta ufanisi katika sekta ya maji, amekuwa waziri wa mawasiliano na uchukuzi pia napo hakuleta ufanisi wowote zaidi ya kuia ttcl? kuna siku Mengi aliwahi kusema kuhusu wasomi wa tz badala ya kutumia utaalamu wao kuanzisha vitu vikubwa kama viwanda hata vidogo vidogo kama vikubwa vina washinda wao wana fuga ngombe wa zero grazing au kuku, wanyama au wa mayai nyuma ya nyumba zao zilizo katika maeneo ya makazi, badala yakuwa wanakuwa wao wanavubaa katika kila angle.