Wasomi walioamua kukalia makalioni taaluma na utaalamu wao.Sakata la Dangote ndio nilipata picha ya hawa viongozi wetu,since then "mpiga sound" sijamsikia tena...huyu muhongo ni kauzu zaidi ya dagaa
Sasa hivi wako busy ofisini kutengeneza uongo wa sababu za kupandisha bei. Ibgekuwa Ulaya angeshajiuzulu muda mrefu. Huku kwetu bila aibu atakuja tena kurudia yale yale na bado atapata wajinga wengi wa kumpigia makofiHuyu ni one of the HOPELESS Ministers...
Hana lolote analofanya.
Umeme wala haujawa stable.. Bado unakatikakatika..
Haya sasa umeme umepanda bei kinyume kabisa na kauli yake.
Halafu litakuja na uso mkavu bila haya kukutea bei hiyoNatamani wamuulize atajibu nini!
Labda tutaambiwa nae alikuwa anawatani zake alikuwa anawatania
Mzazi wangu amelipia service line huu ni mwezi wa saba ati hakuna nguzo bado meneja yuko ofisini na ukienda majibu hakuna nguzo. Muhongo ni kutoa matamko hewa tuu. Apige simu Tanesco Himo kama nadanganya maana mnataka ushahidi. Niko tayari hata kuweka risiti hapa Jf. InakeraHuyu ni one of the HOPELESS Ministers...
Hana lolote analofanya.
Umeme wala haujawa stable.. Bado unakatikakatika..
Haya sasa umeme umepanda bei kinyume kabisa na kauli yake.