Waziri Muhongo azomewa!

duh wanachi wenyewe ndo wamezomea.....mana neno wananchi linatumika vibaya ati siku hiz
 
Chura chura mihongo ni chura chura 😛eace:
 
Amekosea kwenda kununua dawa kwa wawekezaji wa ndani ambao hawana mitaji, alitakiwa kuweka order kiwandani Nchi za wenyewe; Nimeipenda apate somo.
 
mwachen muhongo afanye kaz yake,mtapiga vikelele sana....kwa muhongo na timu yake lazma mkae....iyo wzr na tim lake zone hapelekwi m2 ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…