Unaijua bill of lading wewe?Kwa hiyo wewe na Mpango nani yupo kwenye nafasi ya kueleweka kwa hili sakata?!
So far haijulikani nani alituma huo mzigo, haijulikani nani ni mnufaika (shule zipi)! Msitumie kichaka cha umasikini wa shule zetu kufanikisha masuala yenu ya kimafia.
Huyu mnae mtetea, alikana haya makontena, leo kaibukia kanisani kulialia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda alipe kodi yaishe, vinginevyo atajua kwa nini ndege haipigi reverseNi dhahiri kwamba Rais aliposema kuna mawaziri hawamuelewi,alikua analenga watu kama Dk Mpango ambaye bila aibu anapingana na nia njema kufanya elimu bure
Mkuu wa mkoa kaomba msaada wa madawati na samani,watanzania wakachangishana wskatuma mzigo kwa ajili ya shule za serikali
Haiingii akilini serikali hiyo hiyo inazuia vifaa kupelekwa kwenye shule zake
Itakuwa vizuri basi TRA wakataifisha makontena hayo wakagawa hayo madawati
Kwa wale wanaosema samani lazima kodi,huu hapa ni utaratibu ambao Mpango hautaki kwa sababu zake binafsi
4. Items qualifying for tax exemption Goods or Services intended to be used solely by the Organisation or Institution subject to the following limitations:
In the case of religious organisation, the advancement of religious
Use by the organisation or institution in the excution of its functions and for relieving persons from the effects of natural
calamities, hazards or disaster.
The development, maintenance or renovation by the organisation of projects relating to health, education, training,water supply, infrastructure or any other projects relating to advancement of community.
Nimeamini kweli umezaliwa Tandale kwa mkundugeMakonda alipe kodi yaishe, vinginevyo atajua kwa nini ndege haipigi reverse
Hata mimi siijui bill of lading ila naijua bill of landingUnaijua bill of lading wewe?

Tatizo zile samani zimeingizwa kw jina Makonda binafsi na sio Mkuu wa mkoa wa Dar.!Ni dhahiri kwamba Rais aliposema kuna mawaziri hawamuelewi,alikua analenga watu kama Dk Mpango ambaye bila aibu anapingana na nia njema kufanya elimu bure
Mkuu wa mkoa kaomba msaada wa madawati na samani,watanzania wakachangishana wskatuma mzigo kwa ajili ya shule za serikali
Haiingii akilini serikali hiyo hiyo inazuia vifaa kupelekwa kwenye shule zake
Itakuwa vizuri basi TRA wakataifisha makontena hayo wakagawa hayo madawati
Kwa wale wanaosema samani lazima kodi,huu hapa ni utaratibu ambao Mpango hautaki kwa sababu zake binafsi
4. Items qualifying for tax exemption Goods or Services intended to be used solely by the Organisation or Institution subject to the following limitations:
In the case of religious organisation, the advancement of religious
Use by the organisation or institution in the excution of its functions and for relieving persons from the effects of natural
calamities, hazards or disaster.
The development, maintenance or renovation by the organisation of projects relating to health, education, training,water supply, infrastructure or any other projects relating to advancement of community.
Na wewe kwa mkundugeNimeamini kweli umezaliwa Tandale kwa mkunduge
Enheeeee,kwa nini TRA wasikae pamoja wakabadili manifest?haizidi dola kumi kwa bill of ladingTatizo zile samani zimeingizwa kw jina Makonda binafsi na sio Mkuu wa mkoa wa Dar.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu mna double standards,wabunge wenu wakijiuzulu,na tukifanya uchaguzi kama sheria inavyotaka mnapiga keleleHii nchi inaongozwa na sheria tulizojiwekea wenyewe, na sheria zinatakiwa kufuatwa na kila mtu pasipo kuangalia cheo chake. Who is Makonda mbele ya Sheria hadi asilipe kodi? Ni huo ukuu wa mkoa? Hakuna sheria inayosema wakuu wa mikoa wasifuate sheria. Alipe kodi.
Jielekeze kwenye procedure nilizoonesha hapo juu,Yani wewe Unamwelewa Rais kuliko Waziri Mpango?!! Haha
Ok ila Kauli mbiu ya Jiwe ni kwamba Watu walipe kodi..
Muoneni huyu, hebu tuambie maana ya bill of ladingEnheeeee,kwa nini TRA wasikae pamoja wakabadili manifest?haizidi dola kumi kwa bill of lading
Ndio hapo hoja yangu inapata nguvu,hawamuelewi Rais,na alishawahi hili kulizungumzia wizara ya viwanda na NEMC kupigana munda za kijinga
Ungeanza kwa kutofautisha kwanza kati ya Mkuu wa Mkoa na Paul Makonda, baada ya hapo ndio ungekuja na malalamiko yako.Ni dhahiri kwamba Rais aliposema kuna mawaziri hawamuelewi,alikua analenga watu kama Dk Mpango ambaye bila aibu anapingana na nia njema kufanya elimu bure
Mkuu wa mkoa kaomba msaada wa madawati na samani,watanzania wakachangishana wskatuma mzigo kwa ajili ya shule za serikali
Haiingii akilini serikali hiyo hiyo inazuia vifaa kupelekwa kwenye shule zake
Itakuwa vizuri basi TRA wakataifisha makontena hayo wakagawa hayo madawati
Kwa wale wanaosema samani lazima kodi,huu hapa ni utaratibu ambao Mpango hautaki kwa sababu zake binafsi
4. Items qualifying for tax exemption Goods or Services intended to be used solely by the Organisation or Institution subject to the following limitations:
In the case of religious organisation, the advancement of religious
Use by the organisation or institution in the excution of its functions and for relieving persons from the effects of natural
calamities, hazards or disaster.
The development, maintenance or renovation by the organisation of projects relating to health, education, training,water supply, infrastructure or any other projects relating to advancement of community.
Alikana wapi?Kwa hiyo wewe na Mpango nani yupo kwenye nafasi ya kueleweka kwa hili sakata?!
So far haijulikani nani alituma huo mzigo, haijulikani nani ni mnufaika (shule zipi)! Msitumie kichaka cha umasikini wa shule zetu kufanikisha masuala yenu ya kimafia.
Huyu mnae mtetea, alikana haya makontena, leo kaibukia kanisani kulialia!
Sent using Jamii Forums mobile app
bill of ladingMuoneni huyu, hebu tuambie maana ya bill of lading
Huko ndiko kujitoa ufahamuKwenye zile kontena hazipigwi mnada kwa jina la Mkuu wa Mkoa, badala yake zinapigwa mnada kontena za Paul Makonda.