Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Kwangu, kuvaa wigi ni sababu ya kunisukuma mbali na mvaaji. Hata kucha bandia na kujichubua pia Mkuu.Sawa hoja imeeungwa mkono,vipi shemeji yetu anavaa wigi?
Safi sana mkuu[emoji106] [emoji106] [emoji106]Kwangu, kuvaa wigi ni sababu ya kunisukuma mbali na mvaaji. Hata kucha bandia na kujichubua pia Mkuu.
Waziri Wa Fedha na Mipango., Dr. Phillip Mpango amelivuruga Bunge. Ni kama amesababisha vurugu zisizo na tija Bungeni. Ni baada ya 'kulitumia' Bunge kupiga kampeni kwa chama chake cha CCM kuelekea Uchaguzi Wa Serikali za Mitaa, Oktoba mwaka huu.
Kiukweli, Waziri Mpango amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali iliyosheheni matumaini makubwa kwa weledi na umakini mkubwa. Ameiwasilisha kwa kuelewekavyema na kwa umahiri mkubwa. Lakini, alipoingiza 'kampeni kwa CCM' aliteleza.
Alianza vyema kutaja sifa zinazofaa kuwepo kwa viongozi wetu na wanaotaka kuwa viongozi wetu. Sifa ya kwanza hadi ya tisa zilikuwa ni sifa za jumla na njema Sana. Ya kumi iliyoleta mtafaruku ilianza vyema kuwa atokane na chama chenye kupigania maslahi ya taifa. Kuitaja CCM ndiyo kuteleza kwenyewe.
Kimsingi, Waziri Mpango hakupaswa kulifanya Bunge kuwa jukwaa LA kampeni kwa CCM. Alisababisha kelele na vurugu zisizo na maana Bungeni. Bunge Si uwanja Wa kampeni Wa chama chochote! Aliteleza na asamehewe.
Ccm inapigania maslahi ya Taifa gani? Bora muwe mnakaa kimya!Ulitegemea asemeje wakati yeye ni mwana CCM? Ikumbukwe kwamba kila mbunge yupo bungeni kwa tiketi ya chama chake cha Siasa.
Isitoshe, katika kipindi cha utawala wa Rais Magufuli, imedhihirika wazi kwamba chama chenye kupigania maslahi ya taifa ni CCM, vingine ni SACCOS, vyama vya mifukoni au vina sura ya udini, ukabila na ukanda.
Ulitegemea asemeje wakati yeye ni mwana CCM? Ikumbukwe kwamba kila mbunge yupo bungeni kwa tiketi ya chama chake cha Siasa.
Isitoshe, katika kipindi cha utawala wa Rais Magufuli, imedhihirika wazi kwamba chama chenye kupigania maslahi ya taifa ni CCM, vingine ni SACCOS, vyama vya mifukoni au vina sura ya udini, ukabila na ukanda.
Nikiwasikilizaga ma Dr na Ma prof wetu waliopewa shavu na jiwe huwa naishia kujisemea kwamba hakuna kitu kibaya duniani kama Njaa. Njaa inaondoa hekima, Njee inakata mshipa wa aibu , njaa inapoteza ufaham njaaa njaaa njaaa.
Hakuteleza bali sehemu ya mkakati wa CCM kushinda uchaguzi kwa sababu zile Tisa zingine hakuna mwanachama wao yeyote anafit masharti hayo na kushinda.Waziri Wa Fedha na Mipango., Dr. Phillip Mpango amelivuruga Bunge. Ni kama amesababisha vurugu zisizo na tija Bungeni. Ni baada ya 'kulitumia' Bunge kupiga kampeni kwa chama chake cha CCM kuelekea Uchaguzi Wa Serikali za Mitaa, Oktoba mwaka huu.