Waziri Mkuu VS Mkuu wa Mkoa Dar es salaam

Danken Mbombo

JF-Expert Member
May 30, 2015
651
339
Ni mtizamo wangu… naona ni kama waziri mkuu yupo bize kutafuta makosa ya watendaji..wakati mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam yupo bize kutafuta ufumbuzi wa matatizo (solutions)….. Je wewe unaonaje?
 
Jiulize kwanza nani yuko chini ya nani, maana ninachojua RC, DC wote hutenda chini ya Rais, waziri mkuu, so unaposema hivyo sawa lazima kutokana na hayo makosa ndo tusonge mbele,
 
Ni mtizamo wangu… naona ni kama waziri mkuu yupo bize kutafuta makosa ya watendaji..wakati mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam yupo bize kutafuta ufumbuzi wa matatizo (solutions)….. Je wewe unaonaje?

Kuna uwezekano kwamba baadhi ya Watendaji wa Taasisi haswa wale wanaoteuliwa na Rais kutowajibika moja kwa moja kwenye ngazi ya mkoa...
 
Back
Top Bottom