PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu azungumza na viongozi wa sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma

PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu azungumza na viongozi wa sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
261
Reaction score
199
DKT. MWIGULU AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 11, 2025 amezungumza na watendaji na viongozi wa Sektretarieti ya Maadili kwa viongozi wa Umma, katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi hiyo jijini Dodoma.

Akizungumza na watendaji hao, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema kuwa yapo maeneo ambayo bado rushwa imekidhiri lakini watumishi wake hawatambuliki kama sehemu ya viongozi kwa majukumu yao. “Ni muhimu kufanya mapitio ya haraka ya tamko ili nao waweze kujumuishwa”
IMG-20251211-WA0018.jpg
IMG-20251211-WA0013.jpg
 
hii sekretarieti iko chini ya ofisi ya Rais na inaripoti moja kwa moja kwake. Maagizo na maelekezo watakayopewa na Waziri Mkuu wakati hata ofisi yake inamulikwa na hawa hawa yanatekelezeka?
 
Back
Top Bottom