Waziri Mkuu mteule awamu ya tano

fakalava

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
4,459
Reaction score
6,033
Waziri Mkuu Mteule wa awamu ya tano Mh. Kassim Majaliwa (kulia), akiwa na rafiki yake enzi za ujana. Kipindi hicho walikuwa wanasoma Chuo Kikuu UDSM.

 
Huyo rafiki yake ni Makongoro Nyerere au
 
Swaga kavu za uborn city! Cheki hizo raizon
 
hapo inaonekana mh alikua ndo anamwaga story,"basi alipokuja nikamdash hivi kisha nikachoma ndani na kumkuta mtoto katulia tulii".

mwenzake:ha ha ha ha,we ni noma mtu wangu........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…