Waziri mkuu Majaliwa, masahihisho kuhusu Polisi Kirumba na taarifa nilioitoa

BRUCE LEE

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
2,096
1,332
MASAHIHISHO YA TAARIFA NILIOITOA KUHUSU KITUO CHA POLISI KIRUMBA. Natumia nafasi hii kuutambulisha umma yakua habari nilioitoa kuhusiana na ukiukwaji Wa maadili ya kazi na uonevu unaofanywa na baadhi ya askari Wa kituoni hapo kua kutokana na maelekezo niliopewa eidha kuwekwa katika mazingira ya kua na hofu ili nishindwe kufuata taratibu husika na ofisa aliekua mpelelezi Wa kesi yangu, naomba kumuomba radhi oc cid bwana Kim pamoja na inspector swalehe na mkuu Wa kituo hicho, nikweli sikutendewa haki ila sikupata nafasi ya kuwafikia na kuwaeleza ukweli Wa halisi, nakiri kua viongozi hao hawajawahi kuniomba rushwa au kuvunja haki zangu kama raia, ila napenda kutoa angalizo kwa mtu yoyote atakaeona kua hajatendewa haki afike katika ofisi zao na watamsikiliza. Ndio Mimi kama raia nilitekeleza wajibu Wangu Wa kutumia Uhuru Wangu Wa kuongea freedom of expressions lakini kabla ya kufikia maaamuzi hayo nilistahili kuwaona na kuwafikishia malalamiko na kero zangu, naomba ieleweke kwamba jeshi la polisi lipo kwajili ya ulinzi na usalama wetu sisi RAIA niwajibu wetu kutoa ushirikiano na kufuata ngazi husika, pia natumia nafasi hii kuwatia moyo viongozi hao waendelee kufanya kazi zao kizalendo , jamii inatambua umuhim na ugumu Wa kazi zao . asanteni sana.
 
umepewa kibano nini!
 
Nimeshindwa kuioanisha kichwa cha habari na post yako mkuu......... Ni waziri mkuu ndio anayetoa sahihisho au wewe???
 
Nadhan kuna muda ukakaa na mke wako ndani mkasimuliana kuliko kuja hapa na vitu visipoeleweka.
 
Huyu bwana yamemsibu,nakataa sio bure watakuwa wame mpitisha shughuli.
hapo umenena, naona kaitwa na kupewa ngoko za kichwa na kulazimishwa kukanusha...la sivyo ni mzushi kwa uzishi wake wa awali
 
MASAHIHISHO YA TAARIFA NILIOITOA KUHUSU KITUO CHA POLISI KIRUMBA. Natumia nafasi hii kuutambulisha umma yakua habari nilioitoa kuhusiana na ukiukwaji Wa maadili ya kazi na uonevu unaofanywa na baadhi ya askari Wa kituoni hapo kua kutokana na maelekezo niliopewa eidha kuwekwa katika mazingira ya kua na hofu ili nishindwe kufuata taratibu husika na ofisa aliekua mpelelezi Wa kesi yangu, naomba kumuomba radhi oc cid bwana Kim pamoja na inspector swalehe na mkuu Wa kituo hicho, nikweli sikutendewa haki ila sikupata nafasi ya kuwafikia na kuwaeleza ukweli Wa halisi, nakiri kua viongozi hao hawajawahi kuniomba rushwa au kuvunja haki zangu kama raia, ila napenda kutoa angalizo kwa mtu yoyote atakaeona kua hajatendewa haki afike katika ofisi zao na watamsikiliza. Ndio Mimi kama raia nilitekeleza wajibu Wangu Wa kutumia Uhuru Wangu Wa kuongea freedom of expressions lakini kabla ya kufikia maaamuzi hayo nilistahili kuwaona na kuwafikishia malalamiko na kero zangu, naomba ieleweke kwamba jeshi la polisi lipo kwajili ya ulinzi na usalama wetu sisi RAIA niwajibu wetu kutoa ushirikiano na kufuata ngazi husika, pia natumia nafasi hii kuwatia moyo viongozi hao waendelee kufanya kazi zao kizalendo , jamii inatambua umuhim na ugumu Wa kazi zao . asanteni sana.
Hakuna jibu zuri zaidi ya wewe ni mjinga.
 
bora angesema kwamba,alikurupuka sasa ametulia
 
Back
Top Bottom