Hata wakati wa MAGU tulikua tunatoa hela Kwa ajili ya chakula, tunalipa hela Kwa ajili ya walimu wa part-time.Elimu bure ilikwenda na JPM,
Dodoma. Serikali imesema michango yenye kupeleka maendeleo mashuleni haijazuiwa, isipokuwa inachangishwa chini ya wakuu wa wilaya au mtu atakayeteuliwa kwa niaba.
Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Juni Mosi, 2023 na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akijibu swali la Mbunge wa Kilwa Kusini (CCM), Ally Kasinge.
Nani alikuambia kuna elimu bureElimu bure ilikwenda na JPM,
Ndo maana wao viongozi wanawapeleka watoto wao nje kusoma, Ili waje kuwaongoza watoto wa sisi maskin tunaopenda vya bureNani alikuambia kuna elimu bure
Wazaz
Hata wakati wa MAGU tulikua tunatoa hela Kwa ajili ya chakula, tunalipa hela Kwa ajili ya walimu wa part-time.
Kama vipi mfuate JPM uko aliko akakupe vya bure maana naona mzimu wa JPM unakusumbua
Sisi watu wa Chato kwa magu utwambii kituHata wakati wa MAGU tulikua tunatoa hela Kwa ajili ya chakula, tunalipa hela Kwa ajili ya walimu wa part-time.
Kama vipi mfuate JPM uko aliko akakupe vya bure maana naona mzimu wa JPM unakusumbua
Kuna wakati binadamu huwaza ujinga!Kwamba uzae afu usomeshewe bure?
Wewe ni mpumbavuKuna wakati binadamu huwaza ujinga!
Hivi mtoto unayemzaa wewe ni mtoto wako?
Mungu alituumbia upendo vifuani mwetu ili tuvipende vizazi vyetu, lakini kiuhalisia mtoto siyo wako ni wa Mungu na Serikali.
Kwa kulitambua hilo, Serikali inasomesha watoto mashuleni na vyuoni na inawaajiri.
Mpumbavu mamako mzazi.Wewe ni mpumbavu