R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
wazili mkuu anatosha, nadhani raisi anao watu makini wanaoweza kuchuja mambo kujua wapi aende na wapi atume wazili mkuu.Halafu Mkutano huo ni muhimu sana sana katika Diplomasia ya Uchumi. Top Diplomat alipaswa ahudhurie.
Hivi Kenya watakuwa wamewakilishwa na nani?
Unajua tuliposema safari zisizo na tija za Rais nje ya nchi zipunguzwe hatukumaanisha hadi zenye tija.
Sijui tatizo ni ukosefu wa exposure kimataifa kwa Rais au Dr.Mahiga anashindwa kumshauri Rais au anakataa ushauri
Pia alikosa mkutano muhimu wa kwanza wa AU Summit uliofanyika Addis -Ababa January
Pale ndio ilikua fursa ya kukutana na viongozi wengine na yeye akiwa mgeni miongoni mwao. Pia kuna bilateral dialogue ambazo angefanya pengine zingezidi kumfanya serikali yake ijipambanue vyema kimataifa
Kupunguza Ziara nje maana yake ni zile zisizo na tija .Hatukua na maana ya kumfanya awe "Too Local".
Wewe ane mjoovu huna lolote la maana uongozi mahiri hutumia busara kufikia uamuzi sio kila mkutano rais auhudhurieHalafu Mkutano huo ni muhimu sana sana katika Diplomasia ya Uchumi. Top Diplomat alipaswa ahudhurie.