Waziri mkuu karibu Songea utusaidie majibu ya kukatika umeme

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
1,002
955
Kero ya umeme Songea ni kubwa.kwa siku umeme unakatika mara kumi hadi kumi na tano.Tanesco Songea kazi yao kubwa wakiwa na gari lao la emergence ni kukata umeme tu.

Kwa sasa bei ya mafuta imeshuka ni nini tatizo.Mheshimiwa waziri mkuu tunaomba majibu yapatikane .
 
Last edited by a moderator:
Yan mnajiangalia wenyewe tu. Kuna wakulima wa tumbaku hadi leo hawajalipwa fedha zao huko, wewe unaona jipu ni la umeme tu, coz unakusaloon hapo mfaranyaku. Acha ubinafsi ndugu yangu'
 
Yan mnajiangalia wenyewe tu. Kuna wakulima wa tumbaku hadi leo hawajalipwa fedha zao huko, wewe unaona jipu ni la umeme tu, coz unakusaloon hapo mfaranyaku. Acha ubinafsi ndugu yangu'
Binafsi Me Sijauona Ubinafsi Wowote Wa Mtoa Mada Kwa Bandiko Lake. Labda Una Lako Jambo Kwenye Issue Hii Au Naweza Sema Unaweza Kuwa Kati Ya Watu Wanaochangia Kukatika Katika Kwa Umeme SONGEA.
 
Back
Top Bottom