.....Asante Ndugai
.....Dadeki anakimbia kuwajibishwa na bunge? Wameanzisha wenyewe sasa wanakimbia. Bunge liendelee tuzidi kuona watu wanashikishwa adabu
Kamati zinakutana kila mara na kuahirishwa kwa Bunge hakufanyi Makonda kutowajibishwa.Makonda atawajibishwa lin?ha ha ha