Waziri magufuli


Umeniacha na haya MAJINA... Nimecheka hadi mchozi..!:biggrin:
 

Hongera Ndugu kwa uchunguzi wako wa majina yenye maana za kuchekesha katika kiswahili.Huyo wa sheria Botswana na wa Mipango Japan ni ucheshi wa karne hii! Iwapo majina ya mataifa mengine yaweza kuwa na maana kali kwetu, bila shaka hata majina yetu eg. Kawambwa, ole Sendeka etc yaweza kuwa vichekesho kwenye lugha za wenzetu. Je, kuna mtu mwenye ufahamu wa hili atujuze?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…