Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 198
- 361
Ila vituo vya mafuta vimekua vingi Sana aiseeHuenda uteuzi wa Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula ukatenguliwa wakati wowote kuanzia sasa kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa mgongano wa kimaslahi kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utoaji wa vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta.
Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula.
“Lengo ni kutoa nafasi kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wizara zinazohusika na utoaji wa vibali kufanya tathmini ya kina kuhusu ujenzi wa vituo vya mafuta nchini,” amesema.
Aidha, Dk Angeline ameagiza kusitishwa kutolewa kwa vibali vipya vya ujenzi vinavyokiuka mipango kabambe ya majiji, manispaa, miji na kusitisha ugawaji wa viwanja kiholela unaosababisha taswira za miji kuharibika.
Habari zaidi zinasema maamuzi hayo yatawagusa watoto wa wakubwa ambao wanadaiwa kwa sehemu kubwa wanajishughulisha na biashara ya mafuta
Hiyo ni nafasi ya Ridhiwani kukamata rasmi wizara ya ardhi,kisha kuhamishiwa na wizara zingine tamutamuHuenda uteuzi wa Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula ukatenguliwa wakati wowote kuanzia sasa kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa mgongano wa kimaslahi kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utoaji wa vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta.
Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula.
“Lengo ni kutoa nafasi kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wizara zinazohusika na utoaji wa vibali kufanya tathmini ya kina kuhusu ujenzi wa vituo vya mafuta nchini,” amesema.
Aidha, Dk Angeline ameagiza kusitishwa kutolewa kwa vibali vipya vya ujenzi vinavyokiuka mipango kabambe ya majiji, manispaa, miji na kusitisha ugawaji wa viwanja kiholela unaosababisha taswira za miji kuharibika.
Habari zaidi zinasema maamuzi hayo yatawagusa watoto wa wakubwa ambao wanadaiwa kwa sehemu kubwa wanajishughulisha na biashara ya mafuta
Hizi ni amri za kidikteta kutokana na katiba inayohitaji kuboreshwa. Mtu mmoja hata kama ni Waziri kuwa na mamlaka ya kusitisha miradi ya uwekezaji nchi nzima bila kujadiliana na wadau ni ultimate impunity.Huenda uteuzi wa Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula ukatenguliwa wakati wowote kuanzia sasa kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa mgongano wa kimaslahi kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utoaji wa vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta.
Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula.
“Lengo ni kutoa nafasi kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wizara zinazohusika na utoaji wa vibali kufanya tathmini ya kina kuhusu ujenzi wa vituo vya mafuta nchini,” amesema.
Aidha, Dk Angeline ameagiza kusitishwa kutolewa kwa vibali vipya vya ujenzi vinavyokiuka mipango kabambe ya majiji, manispaa, miji na kusitisha ugawaji wa viwanja kiholela unaosababisha taswira za miji kuharibika.
Habari zaidi zinasema maamuzi hayo yatawagusa watoto wa wakubwa ambao wanadaiwa kwa sehemu kubwa wanajishughulisha na biashara ya mafuta
Hata kama vinakiuka taratibu? Sasa kazi yake nini? Basi ivunjwe hiyo wizara watu wafanye watakacho.Hizi ni amri za kidikteta kutokana na katiba inayohitaji kuboreshwa. Mtu mmoja hata kama ni Waziri kuwa na mamlaka ya kusitisha miradi ya uwekezaji nchi nzima bila kujadiliana na wadau ni ultimate impunity.
Kuna ubaya?Kutoka Mwenge hadi Bagamoyo Vituo vya mafuta zaidi ya 200
Hawa watu wana nguvu ya kufanya watakavyo. Fikiria kuna mtu anajenga katikati hifadhi ya barabara ya njia nane pale Kimara Stopover hakuna anayemuuliza.Huenda uteuzi wa Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula ukatenguliwa wakati wowote kuanzia sasa kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa mgongano wa kimaslahi kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utoaji wa vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta.
Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula.
“Lengo ni kutoa nafasi kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wizara zinazohusika na utoaji wa vibali kufanya tathmini ya kina kuhusu ujenzi wa vituo vya mafuta nchini,” amesema.
Aidha, Dk Angeline ameagiza kusitishwa kutolewa kwa vibali vipya vya ujenzi vinavyokiuka mipango kabambe ya majiji, manispaa, miji na kusitisha ugawaji wa viwanja kiholela unaosababisha taswira za miji kuharibika.
Habari zaidi zinasema maamuzi hayo yatawagusa watoto wa wakubwa ambao wanadaiwa kwa sehemu kubwa wanajishughulisha na biashara ya mafuta
KiafyaKuna ubaya?
Mabula hana maamuzi yoyote. hata hilo lazima kaambiwa semaHuenda uteuzi wa Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula ukatenguliwa wakati wowote kuanzia sasa kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa mgongano wa kimaslahi kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utoaji wa vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta.
Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula.
“Lengo ni kutoa nafasi kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wizara zinazohusika na utoaji wa vibali kufanya tathmini ya kina kuhusu ujenzi wa vituo vya mafuta nchini,” amesema.
Aidha, Dk Angeline ameagiza kusitishwa kutolewa kwa vibali vipya vya ujenzi vinavyokiuka mipango kabambe ya majiji, manispaa, miji na kusitisha ugawaji wa viwanja kiholela unaosababisha taswira za miji kuharibika.
Habari zaidi zinasema maamuzi hayo yatawagusa watoto wa wakubwa ambao wanadaiwa kwa sehemu kubwa wanajishughulisha na biashara ya mafuta
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😃Hiyo ni nafasi ya Ridhiwani kukamata rasmi wizara ya ardhi,kisha kuhamishiwa na wizara zingine tamutamu