Akili ni nywele, kwenye masuala serious usimba na yanga pia?Kisa kumtaja Haji Manara.Kuna mizaha mingi sana inafanyika bungeni siyo leo tu . Na wakati mwingine hata spika hufanya mzaha.Au kwa kuwa leo ni Simba ?
Kumbe alikua polis???? TumeishaaaaHuyo Jamaa alikuwa polisi, aliwahi kushitakiwa kwa kupokea rushwa, hafai kabisa kuaminiwa walafi kusikilizwa
Eheeeeeh huyo katokea wap?Sababu alizowahi kuzitoa Mbowe wakati wa kupokea fisadi sugu kugombea urais zilikuwa zipi??
Sababu za wanacdm kuruhusu mwenyekiti wa maisha ndani ya cdm ni zipi???
Demokrasia msiyoifanya ndani ya cdm mnataka muipate wapi
Umetandika ikuluwwe una akili kama makuwadi wenzio hapo lumumba. ndo mana mnanunua vivuko vibovu mkihojiwa mnavipeleka jeshini kukimbia maswali ya hoja
uanadhani kumtukana tu lowasa kunakufanya uwe na jina kubwa huko ccm? nani basi hakuwa na upande hapo 2015? umejingishwa nawe ukakubali. leo hata slaa mliyetaka kumpora mke mnamuona shujaa kisa aliondoka chadema. mkubwa akili zako zipo likizoWazuri wako CHADEMA tu... Sidhan kama kuna Mbunge wa CCM mwenye akili zaidi ya Nape na Bashe kwa mujibu wa Vipofu wa humu JF. Tuache unafiki na uzandiki, huyo huyo Lugola wakat anamsapoti EL alikuwa anaonekana bonge la Mwanasiasa ila kapata U NW kawa mbaya mbaya zaidi. Tuna minyoo ya Ubongo sio bure, tuache ushabiki wa Vyama na Ukanda manina zenu.
Weka swali hadharani aliloulizwa, tumkanyage vizuriMheshimiwa Kangi Lugola wewe ni mtu mzima kiumri na mtu mkubwa sana kimadaraka katika nchi hii. ( naibu waziri) . Kitendo chako ulichofanya bungeni cha kuulizwa swali na mbunge tena swali sensitive linalohusu climate change na badala ya kujibu swali wewe unaleta utani wa kuingiza mambo ya HAJI MANARA NI UTOTO NA UPOTEZAJI MUDA wa hali ya juu sana.
Tunajua mmekataza bunge live ili mkandamize haki zetu za kidemokrasia lakini tunajua unyeti wa mahali hapo ulipo. Kwanini uache kujibu swali la mbunge na badala yake unaingiza mambo ya Simba na Yanga?
Jitathimini mkuu
Hivi lile zee lila rushwa bado unalitilia maanani mkuu?Mheshimiwa Kangi Lugola wewe ni mtu mzima kiumri na mtu mkubwa sana kimadaraka katika nchi hii. ( naibu waziri) . Kitendo chako ulichofanya bungeni cha kuulizwa swali na mbunge tena swali sensitive linalohusu climate change na badala ya kujibu swali wewe unaleta utani wa kuingiza mambo ya HAJI MANARA NI UTOTO NA UPOTEZAJI MUDA wa hali ya juu sana.
Tunajua mmekataza bunge live ili mkandamize haki zetu za kidemokrasia lakini tunajua unyeti wa mahali hapo ulipo. Kwanini uache kujibu swali la mbunge na badala yake unaingiza mambo ya Simba na Yanga?
Jitathimini mkuu
Halafu ikaishia wapi..!Huyo Jamaa alikuwa polisi, aliwahi kushitakiwa kwa kupokea rushwa, hafai kabisa kuaminiwa walafi kusikilizwa
Wazuri wako CHADEMA tu... Sidhan kama kuna Mbunge wa CCM mwenye akili zaidi ya Nape na Bashe kwa mujibu wa Vipofu wa humu JF. Tuache unafiki na uzandiki, huyo huyo Lugola wakat anamsapoti EL alikuwa anaonekana bonge la Mwanasiasa ila kapata U NW kawa mbaya mbaya zaidi. Tuna minyoo ya Ubongo sio bure, tuache ushabiki wa Vyama na Ukanda manina zenu.
Fresh nica.Ipi sasa..?? we ni mgeni humu?? take time kuijua jf na wana jf..Hutapata shida ya kujibizana
Yanahusiana vipi na huu uzi? Hivi unajua kama kuna watoto wako humu JF? Unarudi nyumbani wanakuchora tu. Be reasonable weye!Sababu alizowahi kuzitoa Mbowe wakati wa kupokea fisadi sugu kugombea urais zilikuwa zipi??
Sababu za wanacdm kuruhusu mwenyekiti wa maisha ndani ya cdm ni zipi???
Demokrasia msiyoifanya ndani ya cdm mnataka muipate wapi
Na sasa ni bosi wa mapolisi.Huyo Jamaa alikuwa polisi, aliwahi kushitakiwa kwa kupokea rushwa, hafai kabisa kuaminiwa wala kusikilizwa