LTN USU WA MADOSO
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,193
- 859
Hili amenukuliwa waziri Angella Kairuki kuwa atakapomaliza zoezi la uhakiki wa vyeti ataanza kuhakiki jinsi watumishi wa umma wanavyotumia mishahara yao ili kuboresha maadili kwa watumishi.
....cha ajabu ni kukagua mshahara wa mtu unautumiaje,kwanza unaanzaje?aiseee hii serikali imepatwaCha ajabu nini?
ww mrembooo upo ulisema kweli mimi ndoo nitakuoaTobaaaaaa!