Waziri huyu awajibishwe

mzimamoto

Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
12
Reaction score
4
hivi karibuni mwigulu nchemba naibu katibu mkuu ccm bara alifanya mkutano hapa iringa miongoni mwa mambo aliyoyaongelea ni,
1.uuwaji wa viwanda uliofanywa na serikali
2.misamaha holela ya kodi inayofanywa na serikali
3.kuanzisha operation ya komboa jimbo la iringa mjini
4.kuomba laiti angekuwa rais watanzania wangekoma
5.kutuhumu wapinzani kuwa wanataka posho tu bungeni na hawafanyi kazi yoyote akitolea mfano bunge la katiba mpya
6 kuahidi umma kuwa atahakikisha bunge la katiba linavunjwa kwa kumshauri raisi alivunje kwani halina maana
.
my take
mwigulu ni waziri anaposema laiti angekuwa rais maana yake aliyeko madarakani kuna mambo hafanyi vizuri na mwigulu anataka yafanyike vizuri.anapoikosoa serikali anamaanisha serikali ipi? Wakati yeye ni waziri na je wapinzani waliodai posho ni kina nani? Wakati kinara wa kudai posho haitoshi iongezwe ni kada wa ccm paul makonda na richard ndasa.hakika mungu amewavuruga ccm lugha yao si moja kinana,nape na mwigulu wanasaidia hoja za upinzani ambazo awali walikuwa wanasema ni za wazandiki na wasiokuwa na uzalendo.
 
Mwigulu hana hadhi ya kupewa hata uenyekiti wa kitongoji! Yeye amebebwa tu na mfumo wao wa kimagamba, eti gaidi linapewa unaibu waziri wa fedha! Ka! Only possible in tanganyika!
 
Mwigulu hayuko makini,,koti la uwaziri ni kubwa sana kwake.
 
Hoja za Mwigulu zinawaumiza kichwa, na bado mtaharisha mwaka huu.
 
Kila mtu anajisemea anachojua, hakuna protocol za kufuatwa
 
Mwigulu akiwa rais Tanzania itakuwa zaidi Irak, itabidi kabla ya kulala uchungulie uvunguni mwako maana hata mke wako anaweza kukulipua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…