Waziri Hamza: Mapato ya Muungano ukitoa matumizi kinachobaki ndio Tugawane Zanzibar na Bara na siyo hii 4.5% tunayopata sasa!

Kwa structure ya Muungano huu, ndo hawatopata hata shilingi. Huyu fundi cherehani Hamza ni kilaza mmoja hivi ambaye hawezi kujua impact ya akisemacho. Kabla ya kujadili namna ya kugawana mapato ya Muungano...
Kwa vile Rais ni mzanzibar wanatumia advantage hiyo
 
Lakini mkumbuke Nyerere alisema ndani ya muungano ndio watasema sisi ni wazanzibari na wao ni watanganyika lakini nje ya muungano watu watasema sisi ni wapemba na wao ni waunguja πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™ ! Utata !!
Yule ni mnafiki na fitina, kabla ya Huo uvamizi wake mbona hatukuisikia hizo fitina zake? Laanatullahi mshenzi yule
 
Huyo waziri hafahamu alisemalo, ana kurupuka na kuhororoja bila uelewa.

Tanzania toka lini mapato yanabaki (surplus)?

Bajeti yenyewe mpaka leo miaka zaidi ya 60 baada ya Uhuru bado tunasaidiwa bajeti yetu.
Je wakati ukifika mapato yakabaki tugawane?
 
Hoja yao Zanzibar iliungana na Tanganyika ikiwa nchi kamili na Wala si mkoa.
Kifupi wako kwenye muungano kishingo upande kwa hiyo wanaweka condition ngumu ishindikane kuendelea.
Ajira tu zenyewe wanalamba 21 percent.
 
Kila mtu abaki na chake, tusikae kwa kuogopana. Kama tuna majirani ambao tunashare ardhi mipakani sembuse ambayo iko km 50
Tuwaache wajitegemee tuone mwisho wao.

Tuache wivu

Sisi tuwateme tu tuone
 
Hoja yao Zanzibar iliungana na Tanganyika ikiwa nchi kamili na Wala si mkoa.
Kifupi wako kwenye muungano kishingo upande kwa hiyo wanaweka condition ngumu ishindikane kuendelea.
Ajira tu zenyewe wanalamba 21 percent.
Hawataki kabisa kupoteza Taifa lao! Come what may !
 
Huyo waziri ana akili ya utegemezi.
Sipendi kutumia jina la wale wanawake wajiuzao.
Watu milioni 1.5 tugawanae sawa na watu milioni 60?
Akili ya kubebwa hiyo.
Kiuhalisia mapato ingekuwa 2.5% ndio wapewe kama share yao
60 million + 1.5million=61.5 million
1.5/61.5 = 0.0244 ....au 2.5% na iwe halali kusema wapewe 2.5 % tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…