Jf ndio imepewa kazi ya kuveti? Wako waheshimiwa Mawazi, na rudia wako, ambao kwanza wameelewa somo kwamba kilichomfikisha mh Rais JPM hapo alipo ni kujituma kuwa tumikia wananchi kwa bidii.
Na sema wapo Mawaziri na tuna waona na kuwa jua kwa matendo yao.
Tazama matendo yao.
Na washawasha!