PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,062
- 1,138
Angesikiliza ushauri wako haya yasingemkuta. R.I.P Rais wanguMbunge wa Kigamboni ambaye pia ni Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @DocFaustine (Mb) akisaini kitabu cha maombolezo kilichopo Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chato, Geita. yuko Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati Rais Dkt @MagufuliJP yatakayofanyika ijumaa tarehe 26 march 2021
View attachment 1733409
Hata Mbowe yuko wapi?Mkuchika na Simbachawene wako wao?
Mbowe ametuma salamu za rambirambiHata Mbowe yuko wapi?
Safarini Dubai kibiasharaHata Mbowe yuko wapi?
Acheni ujinga Simbachawene yupo msibani
Kula bataaaaaSafarini Dubai kibiashara
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hilo daftari la professor lina kazi gani hapo?
Hilo daftari la professor lina kazi gani hapo?