Taarifa kutoka ITV hivi sasa zinasema Selina Kombani amefariki dunia huko India alikokuwa akifanyawa matibabu. Selina Kombani alikuwa Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM- Ulanga Mashariki
Mungu ailaze roho ya mama yetu mahala pema peponi amen,angalizo mimi ni ukawa ila kwa hili naomba watanzania tuwe pamoja katika kipindi hiki kigumu cha msiba hapa ndio huwa naamini watanzania ni ndugu moja kabisa,poleni familia poleni chama cha mapinduzi
Aliekuwa waziri katika serikali ya awamu ya nne Celina Kombani amefariki dunia nchini India akiwa kwenye matibabu.Mwili wake utarudishwa nchini siku ya jumamosi.CHANZOITV habari