PreGE2025 Waziri Bashungwa aahidi Milioni 5 kwa ukarabati wa Parokia ya Kome

PreGE2025 Waziri Bashungwa aahidi Milioni 5 kwa ukarabati wa Parokia ya Kome

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
341
Reaction score
476
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameahidi kutoa milioni 5 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa jengo la parokia hiyo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

1743585355312.jpeg
 
Mwaka wa uchaguzi. Wanasiasa na wanadini wako kwenye fungate Maldives
 
Back
Top Bottom