Waziri ayakana majibu ya naibu wake bungeni!!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,503
2,046
Ni waziri wa ardhi ndugu Lukuvi leo amepinga majibu ya naibu wake bi Angelina Mabula ambae katika kujbu swali la mbunge alie taka kujua ni lini serikali italeta bungeni sera ya kusaidia wanawake kuhusu mambo ya ardhi, naibu huyo alijibu kua sera hiyo iko katika hatua za mwisho na italetwa bungeni hivi karibuni. Ndipo akasimama waziri na kukanusha kua serikali hua haileti sera bungeni bali huleta sheria.
 
kwa maoni yangu ulichoandika na kilichotokea ni tofauti sahihi ingekuwa hivi
waziri arekebisha majibu ya naibu wazili wake.
 
kaikana kalekebisha!!! nyie vilaza nashauri JF idelete users wote na tuanze upya kwa kuzingatia vigezo vya GT tuondoe vuhio.
 
Sio vibaya kurekebisha makosa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…