Waziri anapolidanganya taifa;naomba mwongozo jamani(ibara,kifungu nk) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri anapolidanganya taifa;naomba mwongozo jamani(ibara,kifungu nk)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Feb 22, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Wapendwa najua wote n binadamu lakini hawa mawaziri wa serikali ya sasa nahisi wahuni na wababishaji sasa imefika wananchi kuwaondoa kama ni kwa maandamano ama lah..lakini ni vyema tukaanza kuwaangamiza na vifungu vya sheria kwanza

  huyu waziri wa nishati alidiriki kututajia wamiliki wa dowans na kusema ndio halisi sasa ktkt majina yao akuna jila la huyu bana alietoka huko uarabuni na kudai yeye n mmiliki wa dowans....ndg wapendwa amwoni kuna umuhimu wa kumlazimisha huyu mpuuzi kuondoka madarakani..kwa nini audanganyike umaa wa watanzania bora upuuzi huu angeusomea bungen lakini anaita vyombo vya habari na kukaa kimya si ustaarabu

  tunaitaji another squre jamani

  get ready c u at top
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Boresha hoja yako kwa kuweka wamiliki waliotajwa na Waziri Ngeleja. Ila ninachokumbuka alisema DOWANS Tanzania wanahisa wake ni DAWAS SA na...........sasa huyu aliyekuja kama ndiye mmiliki wa DOWANS SA yenye majority share in DOWANS Tanzania, Indirect atakuwa mmiliki wa DOWANS Tanzania.
   
Loading...