johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,138
Nchini Zanzibar........ au unamaanisha nchini wapi?Angesema biashara nchini zimedorora nadhani angekuwa mkweli na angeleweka zaidi.
Hizi Nchi mbili tofauti kwanza ujuwe hilooAngesema biashara nchini zimedorora nadhani angekuwa mkweli na angeleweka zaidi.
Sijaangalia ITV imezorota ipi ya Bara kununua Zanzibar au ya Zanzibar kununua bara au zote?Kwahiyo urojo siku hizi unatiwa tende.
Zanzibar kuuza bara mkuu....... Wanadai tozo ni nyingi na baadhi ya wawakilishi wametolea mfano wa sukari yao kuzuiwa kuuzwa bara kumewasikitisha sana!Sijaangalia ITV imezorota ipi ya Bara kununua Zanzibar au ya Zanzibar kununua bara au zote?
Sijaangalia ITV imezorota ipi ya Bara kununua Zanzibar au ya Zanzibar kununua bara au zote?
sijawahi kusikia mtu kanunua kitu zanzibar alafu kikawa kibovu.Dumped cheap, used, and substandard products zilizokuwa ziki import-wa na Zanzibar then exported to Bara sikuhizi haziingii bara
Like electronics, vifaa vya ujenzi & vyakula
Frji na pasi used haziuziki tena?
Zanzibar kuuza bara mkuu....... Wanadai tozo ni nyingi na baadhi ya wawakilishi wametolea mfano wa sukari yao kuzuiwa kuuzwa bara kumewasikitisha sana!
Kwa uchache ni hivyo mkuu!
sijawahi kusikia mtu kanunua kitu zanzibar alafu kikawa kibovu.