Waziri Amina: Biashara kati ya Zanzibar na Bara imedorora!

Hii inaonyesha TRA imelivalia njugu bidhaa zinazopitishwa Zanzibar na kutozwa ushuru mdogo sana na kuingizwa bara kama bidha za kutoka zanzibar.

Wafanyibiashara wengi wakubwa walikuwa wakizitumia mbinu hizo.
 
Nimegundua tz tuko ktk tatizo very serious lihusishalo Pesa na biashara kitu ambacho kitaathiri Uchumi... Hakika hapa ni kama tumekwama... Na ni jana tu nimesikia waziri akisema deni la taifa limepaa..
 
Sijaangalia ITV imezorota ipi ya Bara kununua Zanzibar au ya Zanzibar kununua bara au zote?

Dumped cheap, used, and substandard products zilizokuwa ziki import-wa na Zanzibar then exported to Bara sikuhizi haziingii bara

Like electronics, vifaa vya ujenzi & vyakula
 
Lazma biashara iwe hivyo. Zanzibar vitu vyao bei rahisi sana tatizo ushuru.
unalipa zanzibar na dar unalipa. Sasa si bora ununue huku huku dar.
 
Dumped cheap, used, and substandard products zilizokuwa ziki import-wa na Zanzibar then exported to Bara sikuhizi haziingii bara

Like electronics, vifaa vya ujenzi & vyakula
sijawahi kusikia mtu kanunua kitu zanzibar alafu kikawa kibovu.
 
Zanzibar kuuza bara mkuu....... Wanadai tozo ni nyingi na baadhi ya wawakilishi wametolea mfano wa sukari yao kuzuiwa kuuzwa bara kumewasikitisha sana!


Kwa uchache ni hivyo mkuu!


Tanganyika imeweka import ban on Zanzibar sugar kwa sababu serikali imewaambia Zanzibar nyinyi Zanzibar hamna sugar surplus ya kutuuzia sisi, wao wenyewe wana njaa!

Import tarrifs for Zanzibar commodities lazima ziwepo kwa sababu Tanganyika na Zanzibar hatuna customs union. Customs sio jambo la Muungano.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom