inauma sana aiseee..... kilq siku account kwenye chet kunajiandika update..... na chuo watu tumekosa ... tukaamua kwenda nacte jana but jibu lililokuja aiseee unakata tamaaa... eti matokeo ayajapelekwa nacte.... wakat chuo wanasema wameshaleta.... na wanasema adi kufikia alhamis yasipopelekwa chuo aupati .... sa nashindwa kuelewa ... mkuu akipigiwa simu anasema kapeleka muda sana yaaan sielew ata hatma yetu