Wazee Zanzibar tunamtaka Mbowe

Wapi MSAJIRI - tolea ufafanuzi juu ya hili jambo - Saidia Magamba please!!! - Mbowe ni TISHIO
 
Tunawashukuru sana wazee wetu wa zanzibar , wazee ni hazina .
 
Kazi ipo na sio ya kitoto! Jamaa uongozi wake na mafanikio yake ndio yanamuweka alipo,,,hutaki kufa.
 
Mkuu Lizaboni kumbe wewe ni team buku 7 maana umeitwa ukaja kichwa kichwa cheki kwenye red ujicheke mwenyewe.....hahaha kweli kuwa ccm lazima uwe amnazo na ikibidi ukane hata jina lako umenichekesha sana mkuu asante.

CC Ritz & Co..


Wapi kimenuka Mkuu? Mie naona misukule ya Mbowe inahangaika tu



By Nikukumbushe

Buku7 Lumumba,kimenuka huku njooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…