donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,049
- 21,527
Salaam,
Naipenda sana termux kwakua kwanza ni user friendly halafu pia unaweza kuitumia hata kwenye non-rooted devices. Pia commands zake ni kama tu Linux. Je, unatumia tools gani kwenye termux? Mimi kama muonavyo hapo chini, nina black-hydra, Nmap, IPGeolocation, instahack, slowloris(nzuri sana kwa kulaunch DoS attack hii) na weeman ambayo inatumika ku-clone a site eg. FB then unacreate a phishing page ambapo ukimtumia mtu link akajaribu kusign in bas automatically inakuletea login credentials zake. Cons za instahack/instabrute ni kwamba unatumia bruteforce kujaribu kupata password sasa hapo lazima uwe na wordlist.txt ambayo umebunibuni kuotea. Karibuni tupeane maujanja zaidi ma script kiddies wenzangu.View attachment 1203619
Mkuu umeshainstall weeman kwenye termux yako?Mkuu hebu nisaidie nikitaka ku start weeman
Python2 weeman.py haitak kuanza lengo ni kucreate phishing page
ngoja niweke logs hapa...
Mkuu umeshainstall weeman kwenye termux yako?
Nimefanikiwa mkuuMkuu umeshainstall weeman kwenye termux yako?
Nimefanikiwa mkuu
Nimejarbu kujihack Facebook yangu... imekubali
Yapi hayo...Hahaha, sasa unajua localhost hainogi Kuna jinsi ya kufanya manuva mengine
Admiral Chandler,
Unajua ili kumdukua mtu kwa kutumia weeman lazima umtumie hiyo link ya localhost, sasa kwa mtu ambae kidogo anajua kidogo haya mambo ukimtumia hiyo link umwambie apaste kwenye browser yake lazima adoubt kidogo, sasa ntakupa manuva ya kufanya
https://facebook.serveo.net/ nimefanikiwa kuficha locahost kwa termux
Kaka embu achen kufanya hivo hasa kwa kutumia serveo tutafungiwa mzeeee kama walivyofanyia russia ...no serveo service n russiahttps://facebook.serveo.net/ nimefanikiwa kuficha locahost kwa termux
Hahahah chief habari za jioniHawa bado wachanga sana kwenye hacking, ningekuwa mwalimu wao ningewatia bakora kabisaa... πππ... Baba Swalehe anajua kwenye hayo mambo nakutengeneza ka tools mwentewe from scratch unaenda angusha mzigo mzima mzima ππππ
Hawa bado wachanga sana kwenye hacking, ningekuwa mwalimu wao ningewatia bakora kabisaa...... Baba Swalehe anajua kwenye hayo mambo nakutengeneza ka tools mwentewe from scratch unaenda angusha mzigo mzima mzima