donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,031
- 21,499
Salaam,
Naipenda sana termux kwakua kwanza ni user friendly halafu pia unaweza kuitumia hata kwenye non-rooted devices.
Pia commands zake ni kama tu Linux. Je, unatumia tools gani kwenye termux? Mimi kama muonavyo hapo chini, nina black-hydra, Nmap, IPGeolocation, instahack, slowloris(nzuri sana kwa kulaunch DoS attack hii) na weeman ambayo inatumika ku-clone a site eg. FB then unacreate a phishing page ambapo ukimtumia mtu link akajaribu kusign in basi automatically inakuletea login credentials zake.
Cons za instahack/instabrute ni kwamba unatumia bruteforce kujaribu kupata password sasa hapo lazima uwe na wordlist.txt ambayo umebunibuni kuotea.
Karibuni tupeane maujanja zaidi ma script kiddies wenzangu.