watu wa phyisic(mazoez)...huwa tuna siku moja inaitwa ''cheating day"...ni siku maalum ambayo unakula chakula chchote cha junk...ili.kuulinda mwili usifikie zero fat baada ya wiki.mzima ya mazoezi....sasa hiyo siku.ikifikia bana weee...unagonga vitu kama hivo au machipsi masoda...unajiona mnene tena.....