RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,701
- 1,714
Wazee wawili wakazi wa kitongoji cha Bulinda Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya waliofahamika kwa majina ya 1. Geneli Kapwela [65] na 2. Rahabu Bungulu [70] waliuawa kwa kukatwa na vitu vyenye ncha kali sehemu mbalimbali za miili yao na kisha kuchomwa moto na wananchi walioamua kujichukulia sheria mkononi.
Miili ya marehemu ilikutwa katika nyumba walimokuwa wakiishi mnamo tarehe 01.01.2016 majira ya saa 08:00 asubuhi huko kitongoji cha Bulinda, Kijiji/Kata ya Matema, Tarafa ya Ntembela Wilaya ya Kyela mkoa wa Mbeya.