Wazee wakuokota kwenye party mpoo

Wazee wakuokota kwenye party mpoo

Kilboy

Member
Joined
Jul 22, 2025
Posts
62
Reaction score
138
Habari humu nilimpata mtoto kwenye harus moja nikamdanganya nikaenda naye getto kilichonikuta asubuh. (Haisimami tena) nafkri mmenielewa NISAIDIEN NIFANYEJE
 
Chukua majivu kidogo yaliyopikiwa chakula cha asubuhi. Chukua yakiwa bado hayajapoa sana na nenda ukayamwage sehemu wanayokojolea wapita njia. Fanya hivyo mida ya saa sita mchana (jua likiwa limesimama katikati). Wakati unayamwaga unaweza kusema maneno yo yote unayotaka yatokee kwenye mashine yako. Baada ya hapo rudi nyumbani na oga kwa maji ya uvuguvugu. Halafu nenda ukapige mechi yako kiroho safi. Usisahau kuleta mrejesho hapa 💪💪💪
 
Utaua kunguni kengewee
 
Badala umuhusie aache uzinzi unamshauri akishatatua tatizo aende Tena kuopoa hovyo
 
Kama upo serious kweli kweli iimbie nyimbo ya taifa kwa nguvu
 
Ila ni kaka yangu wakuu sio mimi au niwatumie pich
 
Hii ni issue ya sereus mkuu naona unaleta utani
 
Uache umalaya,usharogwa,sasa kaombewe,
Au rudi kwake itasimama lengo lake usimwache umwoe
 
Back
Top Bottom