Wazee wa riddim...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
Salam wakuu,
Katika mziki unaonipa comfort na peace of mind ni mziki aina ya riddim au sweet reggae. Ngoma kama comfort zone ya busy signal, wakali wakina morgan heritage, tittus riley, etc hua wanakonga sana moyo wangu. Na pia riddim mix kama ya country bus na nyinginezo pia hua nazielewa sana. Kwa wale wadau wa tasnia hii hebu tupia ngoma unazozikubali za riddim tuweze kushare pamoja.
Salute,
Lucchese Don.
 
Mr nazikubal riddim mixing zinazomixiwa na ma dj wa kenya eg.. Dj lyta na wale jamaa wa supremacy sounds

Kwa upande wa msanii wa riddim namkubal sana KONSHENS
Ana ngoma gn kali mkuu niShushe
 
Mi nina mix ya Dj Simple simon wa supremacy Sounds ya Riddim....Pia na yule Dj Juan namuelewa sana kwenye Reggae mix
Yah Dj juan naye yupo vizur sema nimeanza kuzisikia mixing zake juz juzi,,sijui ni mgen pale supremacy sound
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…