Nanoli JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 3,739 Reaction score 5,979 Jun 26, 2019 #1 Kuna jamaa walikua wakiitwa Atomic na wengine walikua wakiitwa Wembe... Hawa jamaa wa Atomic walipiga wimbo mmoja unaitwa "mzee Nanga"... Yeyote mwenye nao huu wimbo pamoja na zingine, za Atomic naomba aniwekee tafadhali....
Kuna jamaa walikua wakiitwa Atomic na wengine walikua wakiitwa Wembe... Hawa jamaa wa Atomic walipiga wimbo mmoja unaitwa "mzee Nanga"... Yeyote mwenye nao huu wimbo pamoja na zingine, za Atomic naomba aniwekee tafadhali....