Wazee wa Mathematics

Nimepata x ni seven na y ni eight ila Mimi Si mwana mahesabu
 
HII KITU ILIKUWA NI KUPOTEZEANA MUDA AU? #hesabuwito
Hizi vitu za kuambiana "Find X & Y" akati ziko hapohapo kwenye swali ni kuchanganyana tu. Kama huzioni hizo herufi hapo kwa swali tafuta hata miwani.
 
Hiyo ni kama simitanius equation X²+5=54 and
X+15y=127 njia 54-5=49
X=√49=7 kwa hiyo X ni 7 jibu unatafuta y"
(X=7)+15y=127
7+15y=127
127-7=15y
120=15y
y=120÷15
y=8 jibu
Exactly
Hongera mkuuu
 
Hesabu za basic wengine tulishasahau weka za additional maths unaumiza kichwa
 
a
Hizi vitu za kuambiana "Find X & Y" akati ziko hapohapo kwenye swali ni kuchanganyana tu. Kama huzioni hizo herufi hapo kwa swali tafuta hata miwani.
amesema Tafuta thamani ya x,sio tafuta x(find value of x,sio find x)
 
Sina ubishi sana na majibu ya Iwiva lakini mimi naona kama x na y vina thamani ya 7 na 8; na -7 na 8.9333...
X+15y=127 njia 54-5=49
X=√49=+or -7.
for X=7 unapata y=8
for x=-7, unapata y= 8.933333..
Nawaza tu jamani
 
Vichwa hivyo! Baraka nyingi kwa waTZ wanaojua hesabu!
 
Hiyo ni kama simitanius equation X²+5=54 and
X+15y=127 njia 54-5=49
X=√49=7 kwa hiyo X ni 7 jibu unatafuta y"
(X=7)+15y=127
7+15y=127
127-7=15y
120=15y
y=120÷15
y=8 jibu
Excellent
 
Sina ubishi sana na majibu ya Iwiva lakini mimi naona kama x na y vina thamani ya 7 na 8; na -7 na 8.9333...
X+15y=127 njia 54-5=49
X=√49=+or -7.
for X=7 unapata y=8
for x=-7, unapata y= 8.933333..
Nawaza tu jamani
Gushiii x=-7 & y=8.933 ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…