Wazee wa chura

Mkuu kwa hiyo sisi haturuhusiwa humu, ni Behaviorist tu?
 
Siku hizi mwanamke akishakua na hilo sijui mnaita chura basi anajiona ndio tayari kisha fanikiwa kimaisha!

Hizi vdo clip zikishaingia kwenye "internet" huna mamlaka nazo tena wala hutoweza kuzifuta,huyo mama utafika muda na atajutia kwanini alijirekodi hivyo ila ndio itakua too late!

Kabla ya kufanya jambo,jaribu kutafakari outcome ya jambo lenyewe kwa muda uliopo au in ur future.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…