Wazee wa CCM walia Arumeru

Dah!! hii imenifurahisha sana. Masikini wazee wetu sijui wamelishwa nini na Chama Cha Mauaji (CCM).
 
wazee waichoka ccm arumeru wanabebwa na mafuso wakati viongozi wao wako kwenye ma vx na land cruiser
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahaa.................. hiii si mchezo eti!!!!!!
 
Hapo wazee wanasubiri buku 10 toka kwa mweka hazina ccm!ccm bila rushwa sii chama
 

Mzee hayo yana wenyewe hawa walavumbi yao mafuso tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…