Wazee wa CCM walia Arumeru

hivi vx inaweza kubeba watu wangapi ukiilinganisha na fuso? utahitaji vx ngapi kubeba watu ambao wanaweza kubebwa na fuso moja??
 
hivi vx inaweza kubeba watu wangapi ukiilinganisha na fuso? utahitaji vx ngapi kubeba watu ambao wanaweza kubebwa na fuso moja??

Kwani hakuna mabasi? Mbona Mkutano Mkuu pale Dodoma tunaona mabasi yamejazana tena yenye AC na mapazia!! Nakumbuka kulikuwa na Shabiby, Scandnavia etc yanabeba watu kutoka Dodoma mjini kwende ukumbini na wakati wa kurudi pia kulikua na minibus kibao acha mbali magari binafsi ya viongozi na wanachama wenye uwezo
 
Ukiona chama mtaji wake umebaki ni wa vikongwe na siyo vijana, ujue kinachungulia kaburi.
 
Fuso wamekuwa MAHINDI? wawa tafutiye mabasi angalau! Wajinga ndio waliwao kweli...
 
Maskini jamani wamechoka!. Mmoja mpaka dimples zinataka kufifia LOL!
 
hivi vx inaweza kubeba watu wangapi ukiilinganisha na fuso? utahitaji vx ngapi kubeba watu ambao wanaweza kubebwa na fuso moja??
"Fuata Nzi....."
Hili la kubeba watu kwenye mafuso kuna siku litawatokea puani.Ngoja fuso litakapokuja kupiga mzinga,ndio mtakapotuambia kama ni gari la abiria au mizigo.Kwa hili CCM mnaonyesha mfano mbaya kabisa wa uvunjaji sheria.
 
swali kuu: kwa nini wabebwe? nilifikiri wanakipenda chama hata wawe tayari kuja mkutanoni kwa gharama zao. Pia maantiki iko wapi kubeba wanachama toka jimbo/wilaya jirani? nilifikiri bonanza (ze orijino komedi, TOT, bongo fleva nk) zinazotangulia mkutano wenyewe zingetosha kuvuta watu.
 
waende huko chadema watakuwa wanabebwa na ma-vx kama akina zito, slaa mbowe et al.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…