Escaper
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 1,780
- 3,232
Japo mimi kama mimi sijategemea kuona imepooza hivi ila ndo hivyo (Kazi ya Vince Gilligan) .
Sehemu kubwa ni kama inaelezea namna gani Jesse Pinkman aliwezaje survive torture za Uncle ake Todd na mwisho kuonesha maisha yake mapya baada ya episode ile ya mwisho.
Unaweza ipakua ukainjoi kumalizia dude hili pia mlioiona hii movie msisite kuweka mawili matatu hapa chini kuuenzi mziki mnene wa Mr Walter White bila kumsahau mtaalam Gustavo Fring (Huyu jamaa genius mtakatishaji fedha).