M Mkombozi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 844 Reaction score 477 Feb 21, 2011 #1 Ninaangalia ITV wazee wa Africa mashariki wanatia huruma sana,ila chaajabu wanasahau walipokua wanavaa T-Shirt,Kofia na kanga.Pia serikali haina hela ya kuwalipa ila ya kutaka kuilipa dowansi ipo
Ninaangalia ITV wazee wa Africa mashariki wanatia huruma sana,ila chaajabu wanasahau walipokua wanavaa T-Shirt,Kofia na kanga.Pia serikali haina hela ya kuwalipa ila ya kutaka kuilipa dowansi ipo