Kuna malalamiko kwa vijana (graduates) wanaofanya kazi ofisi za serikali kwamba wanabaguliwa na wazee kiasi kwamba kunakuwa na makundi ofisini matokeo yake ufanisi duni.
Hii inatokea sana kwenye halmashauri za mikoani, na sababu ni kwamba wazee ambao hufanya kazi kwa uzoefu wanawahofia graduetes kwani wanatishia ajira zao.
Kuna mwanajamii aliyewahi kukutana na hii halii?