bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 453
- Thread starter
-
- #21
Nishakuwa baba kitambo bro. Nilitaka kumsaidia huyu dada maana hatujafahamiana muda mrefu ndio kwanza nimemkuta chuo katika harakati za kuhamia Dodoma. Nilitaka amalize diploma yake salama na ndio kwanza ni mimba chnga anaweza akaichomoa hiyoHongera kuitwa baba.
YYeah... Mawazo ya kishetani haya nakubali, lakini muda si mwafaka huuUmeshawah kuwaza wazaz wako wangetoa ya kwako ungekuwa na guts za kufanya hvyo
Kama baba yako angemwambia mama yako atoe mimba yako leo ungekuwa hapa unaandika huu uzi? Uzembe wako mwenyewe unataka kufanya uuaji. Ulipopiga kavu ulitegemea hizo mbegu zitengeneze kitenesi au?Sijaoa asee... ndio nachokisema huyo wa sasa anatosha mpaka nioe sasa huyu mwingine nitamfanyeje nitamhudumiaje si nitamtesa mtoto wa watu bora atoe yaishe
Sasa msichana tangia wiki ile hakuona siku zake baadaye akagundulika kwa daktari kuwa ana mimba. Hilo ndio ninaloliombea ushauri hapa, msichana ana mimba na mim nina mtoto tayari wa nje ndio kwanza ana miezi mitatu, na sijaoa nifanyeje?
mkuu kumbuka hilo furushi la pampers linakata siku tatu tuuMzee baba wajibika na matendo yako.
Wenzako wote hua tunawajibika na matendo yetu, hua hatuji kuanzisha nyuzi humu.
Pampers za Sleepy zinakaa 80 ni 27,000 wipes 4,500. Mahindi, ulezi, karanga nusu, nusu, robo 4,200.
Lactogen kopo 17,000, Nido 11,000.
Nguo za watoto za hadhi ya kawaida haizidi 5000 moja.
Unga wa Lishe 2,500.
Hizi ni gharama za kuja kuanzisha uzi?
Hakuna mtoto wa nje hapo ni mtoto wa ndani. Subiri ulee mtoto wa ndani.Habari!
Ninawaomba mnipe ushauri... juzi juzi nilikuwa Dodoma kama mwezi umepita... nikakutana na msichana mara ya kwanza tukatumia condoms baadaye akasema tukapime. Katika hizo process za kupima tukajikuta tushafanya kavu kavu.
Sasa msichana tangia wiki ile hakuona siku zake baadaye akagundulika kwa daktari kuwa ana mimba. Hilo ndio ninaloliombea ushauri hapa, msichana ana mimba na mim nina mtoto tayari wa nje ndio kwanza ana miezi mitatu, na sijaoa nifanyeje?
Nimemwambia aitoe hataki.... na ndio anamalizia diploma 2. Nafanyeje? Au nimpotezee tu maana hataki ushauri na mim sitaki tena mtoto wa nje ya ndoa. Dah mtihani huu.
Ushauri wenu na matusi ruksa
Mzee baba wajibika na matendo yako.
Wenzako wote hua tunawajibika na matendo yetu, hua hatuji kuanzisha nyuzi humu.
Pampers za Sleepy zinakaa 80 ni 27,000 wipes 4,500. Mahindi, ulezi, karanga nusu, nusu, robo 4,200.
Lactogen kopo 17,000, Nido 11,000.
Nguo za watoto za hadhi ya kawaida haizidi 5000 moja.
Unga wa Lishe 2,500.
Hizi ni gharama za kuja kuanzisha uzi?
Kwamba kila siku mtoto anatumia pampers 20?mkuu kumbuka hilo furushi la pampers linakata siku tatu tuu
Nimekupata sana mkuu... anajua kuwa nina mtoto. Analifahamu vizur nadhani yeye mwenyew kafurahi kupata mimba anavyonekana maana hana hata wasiwasi kama nilionao mimKwanza itabidi umwambie ukweli huyo dada wa diploma kama una mtoto mwingine.......pili angalia moyo wako unampenda nani zaidi i mean ambae atakuja kuwa mke wako ndo huyo umuoe.....tatu mambo ya kutoa mimba achana nayo acha mtoto azaliwe
Okay.....basi acha azae wewe kama kumsaidia kumlea mtoto umsaidie tuNimekupata sana mkuu... anajua kuwa nina mtoto. Analifahamu vizur nadhani yeye mwenyew kafurahi kupata mimba anavyonekana maana hana hata wasiwasi kama nilionao mim
Hivi hizi bahati wenzetu huwa mnazipataje?Habari!
Ninawaomba mnipe ushauri... juzi juzi nilikuwa Dodoma kama mwezi umepita... nikakutana na msichana mara ya kwanza tukatumia condoms baadaye akasema tukapime. Katika hizo process za kupima tukajikuta tushafanya kavu kavu.
Sasa msichana tangia wiki ile hakuona siku zake baadaye akagundulika kwa daktari kuwa ana mimba. Hilo ndio ninaloliombea ushauri hapa, msichana ana mimba na mim nina mtoto tayari wa nje ndio kwanza ana miezi mitatu, na sijaoa nifanyeje?
Nimemwambia aitoe hataki.... na ndio anamalizia diploma 2. Nafanyeje? Au nimpotezee tu maana hataki ushauri na mim sitaki tena mtoto wa nje ya ndoa. Dah mtihani huu.
Ushauri wenu na matusi ruksa
Dah yaani si tu kujua hali hata yeye mwanamke sikuwa namjua vizur... basi tu ni ngumu sana mwanamke ukikalala naye mara mbiki kwa kondomu halafu ya tatu ukaendeleza kondomu... unaona tu bora upige hata kimoja itajulikana mbele kwa mbeleHivi hizi bahati wenzetu huwa mnazipataje?
Yaani wenzio hata watoto mpaka sasahv hatuna...wewe hata kabla ya kujua hali ya afya ya mwanamke uliyekutana naye Dodoma tayari ana mimba yako......hadi raha!
Wewe ndio unafaa kuitwa dume la mbegu.
Shida ndio hiyo. Nilivokuwa mdogo nilikuwa sitaki hii hali ya kuzaa nje ya ndoa kwa kuwa mzee wangu ana watoto nje, so nayaona matatizo yake maana watoto hatuelewani, hatupo wamoja. So nilitaka nikomae na huyu niliezaa naye mwanzo ndio awe mke... sasa hili nalo limekuwa balaa tupuOkay.....basi acha azae wewe kama kumsaidia kumlea mtoto umsaidie tu
Unataka kusema your family had been cursed!!!! Ondoa hizo fikra na muombe sana Mungu kila kitu kitakuwa sawaShida ndio hiyo. Nilivokuwa mdogo nilikuwa sitaki hii hali ya kuzaa nje ya ndoa kwa kuwa mzee wangu ana watoto nje, so nayaona matatizo yake maana watoto hatuelewani, hatupo wamoja. So nilitaka nikomae na huyu niliezaa naye mwanzo ndio awe mke... sasa hili nalo limekuwa balaa tupu
Not real... lkn nilikuwa sina hiyo expectation... bt nadhan ni kuyaacha tu, two years two children inawezakan nilazima nipite humoUnataka kusema your family had been cursed!!!! Ondoa hizo fikra na muombe sana Mungu kila kitu kitakuwa sawa