Ngoja niiangalie kwa majirani kama upo!
Si unajua bongo ukikatika umeme lazima uchungulie kwa jirani upate uhakika kama ni panya au tanesco wamekata umeme
Ndugu, kumbuka kinachoongezeka ni annual increment na si nyongeza ya kima cha mshahara kwahiyo usijipe matumaini kupitiliza mwishowe ukafa Kwa presha bure pale utakapokutana na ongezeko la 19 elfu + 19 elfu ya mwezi July, jumla 38 elfu.