Wazee CCM: Pinda kuwa rais wetu 2015

Wazee CCM: Pinda kuwa rais wetu 2015

Mkuu, wazee wa CCM unataka wakae pembeni. Mbona mzee Mtei ambaye ndiye anayeamua nani wa kuongoza CHADEMA hamumsemi?

Heee hivi nyie CCM role model wenu ni CDM???!!!!!
Sikuwahi kulijua hili!!!!!!
 
Kati ya viongozi makini basi ni Pinda,ni kiongozi asie na makuu na anaejali watu Masikini na ni mtu safi anaefaa kupeperusha bendera ya nchi mwaka 2015 Kama Rais wa nchi, tatizo linaloonekana saizi ni kumchafua ili aonekane kuwa hana uwezo wa kuongoza mafisadi waliomo ndani ya ccm ndio wanaoratibu mpango huo ili kuumaliza kisiasa.Nawasilisha
 
Back
Top Bottom