Brother mbona una nondo mno? Why? [emoji123][emoji123][emoji123]Waache wazeekr kwa upendo uleule waliokulea nao.
Waruhusu waongee na wasimulie hadithi tena na tena kwa subira na shauku ile ile waliyokusikiliza ukiwa mtoto. Waache wawe washindi, kwani mara nyingi walikuacha ushinde hata kama hukustahili ushindi [emoji23].
Waache wafurahie marafiki zao, wazungumze na wajukuu zao... Waache wafurahie kuishi kati ya vitu ambavyo vimeambatana nao kwa muda mrefu, kwa sababu wanateseka wakati wanaona kuwa vipande vya maisha yao vimeng'olewa.
Waache wafanye makosa, kama ulivyofanya mara nyingi... Waache waishi na kujaribu kuwafurahia kwenye sehemu ya mwisho ya safari yao, kama vile walivyokushika mkono ulipoanza yako.
Wape support wafikie mwisho mema! Watakuwa walinzi wako kiroho kwenye ulimwengu usioonekana watakapokuwa ni roho mautini nje ya mwili uharibikao..
View attachment 2831631
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo malipo na pa kupokea baraka tele Asante kwa neno la busara.Waache wazeekr kwa upendo uleule waliokulea nao.
Waruhusu waongee na wasimulie hadithi tena na tena kwa subira na shauku ile ile waliyokusikiliza ukiwa mtoto. Waache wawe washindi, kwani mara nyingi walikuacha ushinde hata kama hukustahili ushindi...
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji1548]Brother mbona una nondo mno? Why? [emoji123][emoji123][emoji123]
Hongereni sana mliopo kwenye good family knotted with love![emoji419][emoji375][emoji173][emoji1548]Am not happy with my family, basi tu mistake zishatokea kwa wazazi siwezi fix tena. Hongereni sana mliopo kwenye good family knotted with love!
[emoji1545][emoji1548][emoji173][emoji173][emoji173]Mungu anaongea na sisi kwa namna nyingi, Leo anaongea na Mimi kupitia wewe, Mods plz pelekeni likes 1000 kwa mshana Jr, Atukuzwe Mungu aliyekutumia leo
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu Bujibuji Simba Nyamaume nijizeeekee, nyikie kina Mshana Jr endeleeni kuinba wimbo wa forever young wa Jay Z