Kaka Pekee
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 336
- 559
Are you serious, boss?mtoto wa kiume ahame aende wapi?wa kike sawa anaolewa,wa kushtakiwa ni wazazi bwana kwa kushindwa kumjengea mtoto wao nyumba,
Are you serious, boss?
Jitu zima linang'ang'ania nyumbani? Mtakua wafugaji wa binadamuYes nko siriaz mtoto wa kiume anaendeleza boma hasa wa kwanza,
Wa mwisho mkuuu... ndo anaendeleza boma.... according to mila na desturi za kichagga.Yes nko siriaz mtoto wa kiume anaendeleza boma hasa wa kwanza,
Jitu zima linang'ang'ania nyumbani? Mtakua wafugaji wa binadamu
mtoto wa kiume ahame aende wapi?wa kike sawa anaolewa,wa kushtakiwa ni wazazi bwana kwa kushindwa kumjengea mtoto wao nyumba,
Desturi za wazungu between 18-22 years kijana lazima ahame nyunbani aanze maisha yake. Wewe unareason kama mwafrika kwamba kijana atajenga nyumbani. Hiko ulaya hata kuridhi wazazi wako sio haki yako. Wakipenda wataandika will mali yao iende kwa mashirika ya kijamii.